sports_esports أحدث التدوينات widgets الألعاب المحدثة android التطبيقات المحدثة
cloud_download التحميل المباشر للـ APK
next_week إستكشف الجديد
loop تصفح كل المُحدثة
view_list ترفيه وتسلية view_list ميديا وفيديو view_list ذكاء وألغاز view_list أكشن ومغامرة view_list كاشجوال view_list أسلوب حياة view_list سباقات view_list أدوات view_list صور متحركة view_list بطاقات وكازينو view_list ألعاب رياضية view_list عروض ومكتبات view_list أدوات شخصية view_list شخصية view_list نقل view_list مواضيع متفرقة view_list نظام الأندرويد view_list هواتف الأندرويد view_list أخبار التطبيقات view_list شروحات view_list اسرار وتلميحات view_list تصوير وفوتوغرافي view_list إدارة وأعمال view_list تعليم وثقافة view_list مال وبنوك view_list الصحة واللياقة البدنية view_list الطب view_list الموسيقى والصوتيات view_list خرائط محلية وسفر view_list أخبار ومجلات view_list اتصالات وإنترنت view_list إنتاجية view_list تسوق view_list إجتماعية view_list رياضة view_list السفر والمحلية view_list طقس view_list مراجع وكتب
chatالشات والدردشة المباشرة
إتصل بنا
menu
sync_alt
accessibility مناسب لمن يبلغ 3 أعوام فما فوق update 2019-05-27

تحميل تطبيق Kangeta Kilimo Free APK للاندرويد

تطبيق Kangeta Kilimo تنزيل APK النسخة المجانية Free Download للاندرويد في تطبيقات إنتاجية.
تحميل النسخة v1.0.1 المحدثة بتاريخ 2019-05-27 بحجم 15M، هذا التطبيق من تطوير Kangeta Kilimo ومتوافق مع هواتف Android 4.0.3 والأحدث.

Ni mtandao wa kilimo unaotumia malighafi za kilimo na masoko yaliyopo Tanzania na Africa kwa jumla ikiwa imelenga wakulima wadogo wa kati na wakubwa katika kuwapatia njia bora za kilimo na technologia.

Kangetakilimo inawawezesha na kuwapa uwezo wakulima wadogowadogo kwa kutumia technologia katika kilimo kwa mlengo wa kulima kibiashara.

Kutokana na changamoto za kilimo na uhaba wa wataalam wa kilimo Tumeamua kuanzisha chombo kangeta kilimo ambacho kitakuwa kinawaunganisha wakulima، wafugaji na wataalam wa kilimo kwa urahisi

- kumsaidia mkulima kutatua tatizo la visumbufu vya mazao na mifugo kama magonjwa na wadudu waharibifu kwa urahisi na uharaka kwa kutuma picha au ujumbe kisha utapatiwa majibu haraka.
- Kumsaidia mkulima kuweza kupata masoko ya mazao yake kwa urahisi na kupitia simu yake.
- Kumsaidia mkulima kufahamu mbegu bora، mbolea، viwatilifu، visumbufu vya mazao، vinyunyizi kwa kutumia simu yake
 
2 ماتاراجيو

- mkulima atapata taarifa za magonjwa na visumbufu vya mazao kutoka kwa kangetakilimo app anachotakiwa ni kutuma picha ya zao lililoathiriwa au ya mdudu anayehaibu

- pia taarifa za masoko zitapatikana kwa wakulima kupitia mfumo nilioutaja hapo juu.
Changamoto

Ulimwengu umefanya juhudi kubwa kupunguza umasikini. Mwaka 1990 asilimia 43٪ y idadi ya watu katika nchi zinazo endelea wanaishi chini ya dola 1 kwa siku. Mnamo mwaka 2010 idadi hiyo ilipungua kwa nusu na kufikia asilimia 21.
Ingawa bado kuna idadi ya watu wafikao milioni 900 ulimwenguni ni wastani wa asilimia 70٪ y idadi hiyo wanaishi vijijini، wengi wao bado wanafanya kilimo kwa ajili ya kulaishi.
Kangetakilimo imeona biashara ni njia nzuri ya kuondoa umasikini ambayo kila mtu anaweza kuishi na kuwa na hakiba. Kuinua kilimo ni njia muhimu katika kufikia malengo.
Fursa
Ingawa fursa ni nyingi ulimwenguni، asilimia 60٪ yu watu masikini ulimwenguni wanaishi Africa. Kiasi kikubwa cha ardhi ambayo haitumiki inapatikana Africa.
Wakati huo huo matazamio ni kwa idadi ya watu Africa ambayo inatalajiwa kuongezeka mara mbili ya billion mbili ifikapo mwaka 2050. Ardhi na wafanyakazi vinapatikana. Changamoto moja itakuwa ni kutumia malighafi hi kufikia mahitaji yanayokua ya chakula.
Suluhisho linabaki katika kuongeza uwezo wa uzalishaji wa kilimo kulingana na UNFAO. Africa inauwezo wa uzalishaji asilimia 24، America ya kati asilimia 35، na Asia ya kati asilimia 36. Ulimwengu umeoa kuna fulsa kubwa ya kilimo Africa.
Mapinduzi ya kilimo Africa yameendelea lakini mapinduzi haya ya kilimo yanajumuisha na kuwafaidisha masikini wanaoishi vijijini na mipakani mwa Africa.
منيورورو وثاماني
Wakulima wa vijijini wa Africa na nchi zinazoendelea wanapaswa kuwa ni moja ya sehemu ya suluhisho katika kuongeza uzalishaji na kuondoa umasikini vijijini. Kuna mitandao ya wakulima kulasa za facebook، twitter na istagram، makundi ya watsapp kwa ajili ya wakulima kupata elimu na huduma kupitia kangitakilimo baada ya kuwa mwanachama na kuendelea kupata huduma bure.
Kutakuwa na mtandao wa kanda utakaoongozwa na wajasiliamali wadogowadogo na wazalisha ajira mbalimbali katika ngazi ya jamii.
Tunahamasisha kubolesha maisha yu watu katika Nyanja zifuatazo؛
• عافية
• ماجي صافي
• مسولة يا فدحة
• Elimu
• مسعدة وكيتالامو
• كوجيتامبوا / كوفامو جامبو
• Kujua jinsi ya kuanzisha jambo
• كوكوزا أوتشومي.

تطبيق Kangeta .

تحميل APK النسخة 1.0.1 المجانية Free Download

يمكنك تحميل تطبيق Kangeta Kilimo APK 1.0.1 لـ Android مجاناً Free Download الآن من متجر الأندرويد العربي.

الوسوم:

26 visibility 0 - 0 android أندرويد 4.0.3 والأحدث
schedule متوفرة مجاناً archive 15M